Usalama

Usalama umechukuliwa kwa uzito wakati wa wa kuunda Hourglass. Mawasiliano yote kwenda na kutoka program ya Hourglass na habari nyingine yamewekwa katika mfumo siri (encrypted). Programu unatunzwa katika mfumo salama (redundant enviroment) uliotengwa hasa kwa ajili ya Hourglass peke yake na hunakiliwa kwa ukawaida.

Usalama wa Kielektroni

End-to-End (E2E) encryption is an advanced feature. While all information in Hourglass is always encrypted in transit and at rest, E2E encryption adds another layer of security by ensuring that personal information, such as names, birth dates, addresses, phone numbers, etc. is encrypted with a key that only authorized congregation members are able to obtain. Hourglass servers and administrators have no ability to decipher this information.